Void ab initio
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 5,739
- 5,703
Tunisia over 0.5Leta mambo
Tunisia over 0.5Leta mambo
Mpe individual total over 0.5Vipi wadau Tunisia anaweza shinda nimpe double chance
Tumia sofa score kuangalia, kwasababu basket wana time stoppage nyingi, ukifuatilia kwenye saa huwezi kuelewa.Kwenye mpira si vipindi viwili tu na vinafahamika....
Sasa hii kikapu man.. Sometime unabet 1st Q.
Unataka sasa uone inaishia wapi ili ukadilie full gamr itakuwaje...
Maaana ni dk 12-10 kwa quarter moja... Ila unakuta game inachezwa hadi lisaa na nusu... Sasa quarter nne hizi za wapi...
Unaona kabisa dakika 15 zimefika alafu ushakula.. Ukirud unakuta qota yao wao bado... Ndio maaana nataka nione kwenye live betting kwamba now.
Ni 16-37
1st Q au 2nd...
Ili nijue napandanisha vipi... Kama ilivyo live betting footbal.. Unaoneshwa ipo dk ya ngapi game.... Na kipind gan!
Angalia kama hii picha...
Game imeanza 3:30... Alafu hadi iyo 05:00 haijaisha manina.
Yaani ni zaid ya lisaa limoja na nusu.
Nashndwa elewa... Alafu ukichek hapo unaona idad ya magori tu... Hauon dk ya ngapi wala quarter ya ngapi..
Najuaje sasa...View attachment 1141225
Tumia sofa score kuangalia, kwasababu basket wana time stoppage nyingi, ukifuatilia kwenye saa huwezi kuelewa.
Ok mkuu...Tumia sofa score kuangalia, kwasababu basket wana time stoppage nyingi, ukifuatilia kwenye saa huwezi kuelewa.
Ok mkuu...
Basi nao ni wa magumashi... Maana utaenda sofa score utakuta 1st qota imekata... Ukija huku goma bado linasonga....
Unakuwa hauna uhakika wala makadirio aisee..... Ngoja nitafute betting apps inayoonesha muda unaenda vipi au qota zipo vipi...
mkuu, kama ni kutoa na ulipiga *148*53# ile si user name bali ni user id, nikimaanisha acc id yako inayoonekana juu kulia ukilog in kwenye account yakoMkuu natumaini uko online naona msaada kwenye galsport kutoa pesa kwenye username nimeweka jina langu wamekataa je nitumie nini
WOOOON TUKUTANE KWA WAKALATunisia over 0.5
mkuu ingia kwa mobile version nikimaanisha link hii kwenye simu yako m.gsb.co.tzDuh! Naomba univumilie mkuu maana ndo Mara ya kwanza kuitumia but nimeweka screenshot ya account yangu nisaidie kunionyesha iko wapi maana naona kulia kuna email yanguView attachment 1141299
kwa experience yng haizd dk 3 kwa m pesaAsante mkuu nimefanikiwa ubarikiwe sana but sijui hela inatumia mda gani kuingia mpesa
timer 13.00
play single for high odd to be safe
Bado mkuu sijapata msg yoyote toka NMB kuwa kadi yangu iko enabled kufanya miamala km nilivyoambiwa kuwa nitajuzwa ndani ya masaa 72.mkuu, mrejesho wako kuhusu skrill tuna usubiri
Una hamu ipotee au izalishe???Nina 150k hapa inaniwasha naombeni 2+ odds
Hahaha..jibu hapo ni izalishe baharia.Una hamu ipotee au izalishe???
Izalishe...nafikiria kuwapa ivory coast ov 0.5Una hamu ipotee au izalishe???