Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu kwa mnaoangalia mpira huyu Tunisia anaweza kupata matokeo mazuri kweli?.
 
Kanji bna...anajua kweli kula na vipofu...Kama panya...anang'ata na kupuliza..jana ilizima kwa upande wake akapapasa...Leo imewaka tena anamulika...
 
Ozaaaaaaaaaaaa nimeamua kuchange jina nipime upepo maana naona mambo yanaenda mrama,,, nataka nifungue na account zangu zote za kubet mpya nianze kumpa a'nhadabu huyu kanji bah
 
Back
Top Bottom