Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,834
- 40,641
Ukiondoa bet pawa kampuni nyingi tu bongo hazina kodiGuys niaje, ngoja niwape experience ya 1xbet.com, ku deposit nilikuwa natumia rcdb card inaenda poa tu. Kutoa ikawa shida, inaniambia kiwa kuna shida kwenye system, hangaika sana. Nikawasiliana nao lastly baada ya wiki nikachoka, nikabetia kwa hasara nikaliwa, nika log outnika delete na App.
Kiukweli 1xbet ni ishu sana kutoa pesa. Nafikiri Betpawa wanaweza kuwa wazuri kwa kuwa hawana kodi.