Mshuza2
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 11,568
- 17,992
Iko meridianbetHii option sijaiona betpawa wakuu tufafanulie kiongozi
Iko meridianbetHii option sijaiona betpawa wakuu tufafanulie kiongozi
Hata huko siioni...Iko meridianbet
Thank mkuu imetikiiiii*csltg*
_2 odds_
Tianjin Teda - Guangzhou Evergrande
Total 2: Individual Total Guangzhou Evergrande Over (1.5)
1.44
Simona Halep - Elina Svitolina
1X2: Simona Halep
1.45
_elina with better h2h. Her best today is to get a set against the Romanian goddess_
*mr opulence*
achaa tu,Kuna watu wamenifata pm wanasema sio vizur kuonyesha stake... wanashauri niwe naficha... well noted
AISEEEEEEKuna watu wamenifata pm wanasema sio vizur kuonyesha stake... wanashauri niwe naficha... well noted
Mkuu Prof,Kuna watu wamenifata pm wanasema sio vizur kuonyesha stake... wanashauri niwe naficha... well noted
*csltg*
_2 odds_
Tianjin Teda - Guangzhou Evergrande
Total 2: Individual Total Guangzhou Evergrande Over (1.5)
1.44 [emoji736][emoji736][emoji736]
Simona Halep - Elina Svitolina
1X2: Simona Halep
1.45 [emoji736][emoji736][emoji736]
_elina with better h2h. Her best today is to get a set against the Romanian goddess_
*mr opulence*
Baadhi ya Wakuu Wa jamiiforums hawakosi cha kuongea.Kuna watu wamenifata pm wanasema sio vizur kuonyesha stake... wanashauri niwe naficha... well noted
Kuna two options... one through M PESA au vibanda vya meridian..Prof naomba msaada kwenye kudeposit meridian mbona inasumbua au unadeposit vipi maana ndo mara ya kwanza kuitumia
Noted chiefMkuu Prof,
Kama ni "stake" kwa maana ya dau nadhani unaweza kuificha kwa sababu ina_make sense kwenye suala la privacy ya mcheza kamari.
Lakini kama unazo "sure odds" na unajisikia ku_share, hata kama ni mkeka wa timu 20 sidhani kama kuuficha huo mkeka ambao hauonyeshi dau inaleta maana yoyote, sana sana naona ni imani potofu tu ambazo hazibadilishi hata matokeo ya mechi.
Ni fikra zangu tu.