Huwezi kubeti direct win friendly games..unless unase kwenye mtego wa odds..Kubeti friendly game ni kazi kinoma jana lepzign n'a Aekathens walichapwa wakachana mikeka mbaya
Huwezi kubeti direct win friendly games..unless unase kwenye mtego wa odds..
Sahihi Kaka.Naona kama over 1.5 zinatoka sana
Under zinasumbua sana
Mkuu tupia tips twende sawaNaona kama over 1.5 zinatoka sana
Under zinasumbua sana
Mkuu michezo ninayofanya sasa hivi ni ya hatariMkuu tupia tips twende sawa
Hali mbaya
WOOON TUKUTANE KWA WAKALA ODD 2+INPLAY;
Spartak moscow over 0.5