Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Naomba kuelimishwa, natumia mobile version nataka kuscreen shot ili page ya ticket itoe full ili niapload hapa jamvin
 
Huwa iko hivi, ikitokea mtu mmoja pekee ndio kabashiri sawa, basi ni yeye pekee ataepata... ikitokea watu zaidi ya mmoja basi wote watagawana hilo dau....
Huko Kenya Sport pesa wao hadi sasa imepanda sana yaelekea ksh 29,500,000
Ambazo kwa tsh ni karibia 500mil

Vp mkuu, nliwahi kukusikia ukielezea kuhusu promo code ya meridian ambayo inaharakisha kupata pesa yako ukitoa kwa njia ya mpesa, naomba mwongozo kwani nataka kufungua account meridian
 
Vp mkuu, nliwahi kukusikia ukielezea kuhusu promo code ya meridian ambayo inaharakisha kupata pesa yako ukitoa kwa njia ya mpesa, naomba mwongozo kwani nataka kufungua account meridian

Alikuwa ni Raimundo boss
Mi siitumii ila wanasema kuwa ukiwa na promo code inasababisha upate hela na bonus yakutosha
 
Last edited by a moderator:
all team yellow card yes meridian bet
ajax,legia warzawa,livapul,gabala,monaco,rubin,borushia dotmund,fiolentina,sporting cp .kaz njema
Nani kakuambia kuwa yellow card wanatoa YESS na NO? Hiyo ipo kwenye RED CARD na PENALT. Kwenye yellow gard wanaweka kiwango mara nyingi ni 4 Kama utaona zitampungua utachagua < yaani under au kama unaona zitazidi kiwango walichotoa utachagua > yaani over au kama utaona zitakuwa sasa na alizozitoa utachagua vilevile labda niambie kama wamefanya marekebisho kwenye software yao na mimi niigonge fasta?
 
Alikuwa ni Raimundo boss
Mi siitumii ila wanasema kuwa ukiwa na promo code inasababisha upate hela na bonus yakutosha

Bonus Mzungu hatoi siku hizi, ni kavuu tu.

Kama vipi ajiunge bila hiyo promo code. Ni yale yale tu.
 
Annalysed 3+ Gamez "Apoel,Fiorentna,fc sion,Borusia dotmund,Fenerbach,Napoli,St entienne" ODDS 30+
 
Naomba kuelimishwa, natumia mobile version nataka kuscreen shot ili page ya ticket itoe full ili niapload hapa jamvin
 
Tatizo LA humu tunaenda nje ya mstari sana kuna watu wanaleta mizaha na mapenzi yao humu kwa kujifanya wanajuana sana wakati PM zipo na namba za simu wanakuwa mstari wa mbele kuwaambia wenzao wanakosea Ila wao hawaoni Mara WhatsApp zinaboa huku mnatuletea habari zenu humu. Tukikosa displine tutapoteza wote ebu turudi kwenye dhumuni na lengo hasa nasio blablaah
cute b, Mtoto wa nzi, Rockcity native, r_baharia, Root, Kafiti, Rene jr, jose mjasiriamali, avogadro, na wengineo, biashara zinasomeka?

Tufanye tathmini wapendwa.

Kwa upande wangu mashindano ya EuroBasket hayajanifaidisha kitu, naendelea kusubiri NBA.
 
Last edited by a moderator:
Nimejaribu kuweka hela mpaka sasa hivi haijaingia kwenye meridian sijui kama nitausuka huo mkeka mkuu maana zinacheza kwanzia saa saba.
Tukutane jioni kwenye mkeka wa kulalia.

He! Kwani tunalalia mkeka tena? Au godoro ndiyo ushauza upate hela ya kubetia.

Umesomeka sweet!

BTW: Root, jana Chelsea alishinda Cap, hope ulitusua.
 
WOTE WIN Feneb, Borus, Napol, V.Plezn, Besiktas, Tot, tupia hzo kesho utanipa majibu.
 
Fixed match. Saint lose, Sporting lose, Midtj lose, Sion lose,

Mkuu usikae ukakkubali hii habari ya fixed match, ni bonge la usanii.

Tena kuna wahuni wanajifanya kuuza fixed matches, waogope watu hao.
 
Draw match today* Ajax, Bordo, Rapid wien, Gron, Andlch, Atletic Bil, Asteras tr. Both ht and ft
 
Back
Top Bottom