Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Bet won
Screenshot_2019-07-20-21-01-29-1-1.jpeg
 
Ukifungua Flashscore ukabonyeza ile tab ya "Finished" ... halafu ukaona over 1.5, over 2.5, GG/BTTS, Double Chances za kutosha ... halafu ww umeshindwa kupata hata Over 1.5 tatu tuu ... ndo unagundua huu mchezo hauhitaji hasira mamaeee
 
Nahisi kuna laana inaniandama maana bet zote zinakufa kwa kukosa goli 1
Iwe single au mkeka zote goli 1 tena timu ya mwisho.
Nina betslip kama 20 zenye kukosa goli 1 tu


Aisee pole sn ... hakuna kitu kinavunja moyo km kukosa hela ndefu kwa ajili ya goli moja tu.
 
Prof.. ni bundle limeisha au ndo umetuachia manyoya fanya fanya hta hz za Mls bas
 
Back
Top Bottom