Bet wonTry at your own riskView attachment 1158373
Nilifata hii mkuu
Bet lost
Toa code mkuuTunaanza upya. Mwendo wa odds tatu tatu...View attachment 1158426
Hamna noma...Toa code mkuu
hayo mabrazili kwa direct win yaogope kabisa!!Tujaribuni na huo hapoView attachment 1158440
Hadi warusi leo wameto GG wote ... na wanaelekea kutoa GG&3+ wote ... sijui tunakwama wapi.
Nahisi kuna laana inaniandama maana bet zote zinakufa kwa kukosa goli 1
Iwe single au mkeka zote goli 1 tena timu ya mwisho.
Nina betslip kama 20 zenye kukosa goli 1 tu
Ndoivyo mkuu kanji katu roga SanaHadi warusi leo wameto GG wote ... na wanaelekea kutoa GG&3+ wote ... sijui tunakwama wapi.