Kirikou Wa Kwanza
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 3,557
- 1,992
Sio noma la kitoto, Young Boys suluhu inanukia.Asee ni noma noma
Sawa mkuu!!Mpunga mrefu na kitambulisho ni mtihani siku ikitokea umepiga parefu
Ila kama una bet ndogo ndogo haina shida
1bet ukiwapiga parefu au ukipata bonus ndefu lazma wakuzingue Id
Na ukidunduliza hela ikawa nyingi na ukataka kuitoa kwa mkupuo lazima Id itahausika
Dawa ni kutoa kidogo kidogo kila ukiwin
Ndio maana mi nimekomaa na Bitcoin
Bro mkeka umechanika huo.MKEKA WA LEO HUO HAPO HUAKIKA View attachment 1158776
Mmoja kazngua malmoBro mkeka umechanika huo.
unalipa mkuu bado naufanyia testKumbe unalipa eee? nakumbuka Wa kusoma ndo ilikuwa option yake pendwa.
Over 0.5 First Half
Zikifika timu tatu tu lipukaunalipa mkuu bado naufanyia testView attachment 1159020
ni kweli mkuu maana timu tatu tu odd tayari zinafika 2+Zikifika timu tatu tu lipuka
Mkuu hii ni kama 1xbet, kama ndio wewe unadeposity kwa njia gani?Football team ya mwisho kila siku inazingua, ila sasa nimebuni mbinu mpya kama nilivyowaambia hawa watoto wa basketball U20 tucheze handcap naona zinatoaView attachment 1159043