Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

ODD 2+

COLOMBIA IMG_20190722_002237_476.jpgIMG_20190722_002241_653.jpg
 
Wadau naombeni kwenye akaunti yangu ya meridianbet inaonekana nimewekewa bonus ya hela, kama nataka kuitoa nafanyaje? Msaada please mwenye kufahamu

Bonus unaweza kuitoa mkuu, bet kwa timu hata zinazochezwa kesho kwa kutumia bonus baada ya ku place bet utaona option ya ku turbo.. ukiturbo tu hapo hela hairudi kwenye account ya bonus inaingia kwenye account yako ya kawaida, baada ya hapo unaweza itoa kama kawaida..
 
Asante sana mkuu kwa ufafanuzi

Back
Top Bottom