Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mi mgeni kwenye betting. Kuna betting ya urais wa tz kama ilivyo nchi nyingine?
 

hockey mdau.... kuvuka 5...ni kugusa tu..... naigopa sana hockey kutabiri magoli...
 
hockey mdau.... kuvuka 5...ni kugusa tu..... naigopa sana hockey kutabiri magoli...
Utafiti niliaza jana baada ya kuangalia H2H nilichagua zile zilizofungana magoli mengi ila matokeo yake zote zilikuwa under hivyo nikaamua kujaribu tena kiivi ila hali bado ni ngumu.
 
Baba hockey sijui basket siijui...mie soccer tu.....avogrado na mtoto wa nzi nyie leteni mikeka tu hpa tutacopy na kupaste
 
Baba hockey sijui basket siijui...mie soccer tu.....avogrado na mtoto wa nzi nyie leteni mikeka tu hpa tutacopy na kupaste
Kuna jamaa yangu aliniambia hawezi kubet michezo mingine hata iwe wazi vipi na ilkitokea bahati mbaya ameshinda kwenye hiyo michezo , hiyo hela hawezi kuifurahia kama ambavyo angeshinda kwenye soccer
 
Mimi michezo mingine ambayo siijui nabet kma kawaida ila kufwata mikeka yenu....hata kungekua nakubeti tobobao mie ningeufata tu mkeka mlipo na mimi nipo
 

mchezo hatari sana huu....
 
Huu mchezo huu......
 

Attachments

  • 1442541597817.jpg
    40.3 KB · Views: 175
  • 1442541624870.jpg
    57.9 KB · Views: 167
  • 1442541638075.jpg
    48.3 KB · Views: 168
Hii issue ya turbo hata siiamin hata kidogo....coz hapa niliapply kitu cha turbo hata kabla ya hiyo game ya sao paulo...
 

Attachments

  • 1442541763893.jpg
    61.5 KB · Views: 164
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…