Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Play single
IMG-20190723-WA0126.jpg
 
Sure mkuu.... tuko pamoja... nikapata time na share ..
Uendelee na moyo huo. Angekuwa mwingine angetengeneza kakundi Telegram, WttsApp .... aanze kuuza odds.
Yeyote anyeuza odds ujue ameshindwa betting, akaamua aingie kwenye utapeli.
 
Msaada namna ya kudepost 1xbet kwa safarcom naona mi siion kwenye option za kudepost
Nenda Google search 1xbet Kenya
Link ya kwanza yenye .co.ke ndio ina options hizo

So kama umefungua nje ya hapo anza upya kwa kutumia link hiyo
Na app download kwenye link hiyo hiyo
 
IMG_4801.JPG


Yani hako ka team tangu saa 12 jioni nakasubiria ila sijui ndio wame cancel game au vipi? Wale mnaojua nipeni neno hapo... Ndio nitasubiria au wataiondoa hiyo mechi ili mzigo unaobaki nipewe
 
View attachment 1160860

Yani hako ka team tangu saa 12 jioni nakasubiria ila sijui ndio wame cancel game au vipi? Wale mnaojua nipeni neno hapo... Ndio nitasubiria au wataiondoa hiyo mechi ili mzigo unaobaki nipewe
Hawa jamaa wapo slow sana kuondoa mechi zilizofutwa, ukiwapigia wanakuambia subiri masaa 24
 
Back
Top Bottom