Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

poaah poaa ngoja nitumiee vodaa maana jana tigo mm mweyew jana ovyo wamenirejesheaa salio langu nw
 
Mi natumia pmbet naona wako vizuri, pesa yako unaipata baada ya mechi kuisha
 
Wadau hv parimatch game ikihairishwa inakuaje..Maana jana kuna game ya ligi ya bangladesh ilikuwa inacheza saa 7 ilihairishwa mkeka mzma umetiki bdo yenyewe tu .. ni kwamba hawafutagi mechi zilizohairishwa kwenye bet slip au wanasubiri hadi game ije ichezwe
 
wadau mnaosumbuka na meridian tumieni old version ambayo ni old.meridianbet.co.tz then kuna sehemu ya Ku search
 
Ile game imeisha 1:1. Imechezwa leo mchana. Iliahirishwa kwa sababu ya mvua. Kama wapigie 0800 78 7878 (haina gharama)
 

2odds
Booking Number: Z5FDWF56
25/07/2019 10:04:46
Code 1553 Date 25/07/2019 12:30
Event Tottenham - Manchester Utd
Live/Prematch Prematch Selection GGπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’š
Code 1420 Date 25/07/2019 12:00
Event Dinamo Moscow Youth - Ural Youth
Live/Prematch Prematch
Selection (0:3) 2 HπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’š
Stake: ₦ 25,000.00
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…