Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Tutengenezee hata miwili kwa leo tudese nayo pls prof
Tujaribu hapa mkuu
Screenshot_20190725-094250.jpeg
 
Naona sasa uzi unapendeza pendeza.. Angalau shuhuda za watu kumkalisha kanji zinaongezeka..yote hii ni umoja na upendo wa wanauzi kusaidiana kwa kwa kutoa mikeka ambayo ina mafanikio... Good job.. Mayu.. Proff.. Basias..steve molel.. Na wengine...angalau mnatufanya tucheke..
Kuna kipindi uzi uliharibika sana huu. Hata nilikuwa siutamani. Ulivamiwa na watu full fujo wakageuza sehemu ya kutambiana. Maana wanasubiri mikeka yao itiki ndio wanaileta.
 
2odds
Booking Number: Z5FDWF56
25/07/2019 10:04:46
Code 1553 Date 25/07/2019 12:30
Event Tottenham - Manchester Utd
Live/Prematch Prematch Selection GG


Code 1420 Date 25/07/2019 12:00
Event Dinamo Moscow Youth - Ural Youth
Live/Prematch Prematch
Selection (0:3) 2 H
Stake: ₦ 25,000.00
 
Back
Top Bottom