Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

poaaa poaaah wakuuu daaah leoo tuliodeposit kwa tigo meridian tumekosa pesa maana mtandaoo umetuhujumu na tumeshaambiwaa tusubir hadi Masaa 24
 
Dadeq
Odd 2+ zimenitoa jasho

Ngoja nipumzike
Screenshot_2019-07-24-19-51-17-1.jpeg
 
Hivi hawa wanaotabiri correct score, hua ni kweli au ndo kila mtu anatumiwa score zake af ambaye itatiki ndo inatumika kama ushahidi, au inakuaje apo wadau!
 
Back
Top Bottom