Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hizi game za china nimezitega toka jana kitu tigo wamenifanyia leo yani nimedeposit toka saa nne meridian hela haijafika hadi saa hizi dah wameninyima hela asee
 
Sio wote wanaweza risk big to win big

Wengi ni under 10000
Aweke 100K iliwe atapasuka.

Kwa wenye hela ya ziada ni ruksa kurisk
Hapa leagues hazijaanza zikianza kila mtu atakuwa millionaire humu... kwa sasa games ni chache... leagues zote zikianza aiseee kila mtu humu 500k per day hakosi
 
Hapa leagues hazijaanza zikianza kila mtu atakuwa millionaire humu... kwa sasa games ni chache... leagues zote zikianza aiseee kila mtu humu 500k per day hakosi
Mkuu usije kupotea ukawaacha wadau kwenye giza
 
Mkuu kama mambo yatakuwa mazuri wata risk tu
Kikubwa ni accuracy ya predictions

Na uzuri wa Prof odd zinaanzia 2+
So ukibet mara 10 ukalost 3 bado una super profit
Mm mwenyewe nimejipanga afe kanji au nife mm ligi ikianza
 
Meridian wehu sna,wanachelewa ku update hizi game nkajua lost mpk nlipoingia humu.
Shukrani chief,betwon
Sio hao tu hata betpawa nao hivo hivo,ndomana mimi napenda tumia 1xbet kwanj hapo na hapo hakuna kuchelewesha mambo....hahahahah
 
Back
Top Bottom