Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

2-1-X-X-1-1-X-1-1--X-2+1-2+2+2+1+1 MBET
PICk UR LUCKY

Kama zilivyoanza juu
[

2
1
X
X
1
1
X
1
1
X
2
1
2
2
2
1
1
 
Wakuu naomba kuuliza kuna 22bet ina option za 1xbet na inaruhusu kutumia mpesa via safaricom.. Kuna aliyewahi kuitumia hii..?? Kama yupo naomba mrejesho..
 
RicHgANg Green combo ☘️
Kick off.. 🕓

*Xycerccie*
Benevento ov1.5

*Ebuka*
SV Reid Hweh

*Banks Tips*
Paid-Tartu Ov2.5

*Mr Collins*
Salzburg x2

*King Major 👑*
Tartu 🆚 Tallina Ov2.5

*Erudite Tj*
Stuttgart hannover ov1.5

*Greenville*
Rodez Aveyron Homeov0.5

*Bishop*
Politehnica:Academica 1x

*Total odds* 4.80
*Booking code:* Z5F8R7XJ

Green we pray oh Lord.
 
Wakuu naomba kuuliza kuna 22bet ina option za 1xbet na inaruhusu kutumia mpesa via safaricom.. Kuna aliyewahi kuitumia hii..?? Kama yupo naomba mrejesho..
Hii ni kampuni inayomilikiwa na wenye kampuni ya 1xbet
Wanafanana kilakitu kwa options

Mi nimewatumia kwa kutumia bitcoins kudeposit na withdraw
 
Hii ni kampuni inayomilikiwa na wenye kampuni ya 1xbet
Wanafanana kilakitu kwa options

Mi nimewatumia kwa kutumia bitcoins kudeposit na withdraw
Najaribu kusoma review kuhusu 22bet natishika kidogo.
 
Pole sana mkuu mbona unataka kuzunguka sana wakati njia rahisi ipo unatakiwa na visa prepaid card basi umemaliza kazi ndani ya nusu saa tu baada ya ku withdraw unapata mpunga wako kama utapenda nicheki whatsapp 0658015213
Ok shukran mkuu nitakucheki nitakapopata ugumu wowote
 
Hyo 22bet sidhani kama inamilikiwa na 1xbet alaf hakunaga legal website zinazofanana feature alaf chakushangaza 1xbet ilianzishwa 2007 na yenyewe 2017 alaf et makao makuu wote ni Uk ni kama scam vile lakin cjui hapo
 
Ni vyema kuchukua tahadhari za kutosha, kufanya tafiti kwa kina kabla ya kujishughulisha na haya makampuni ambayo hayajasajiliwa nchini.
Kumbuka ukifanyiwa figisu humo hakuna wa kumlalamikia anayeeleweka.
All in all: Betting ni uwekezaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…