Wakuu habarini za masiku,
Nakuja kuwapa mrejesho wa safari yangu ya kusaka payment method ya kulipia 1XBET.
Leo hii nimefanikiwa kulipia kwa Paypal kutoka akaunti yangu ya NMB via NMB mastercard na kiukweli imekuwa Instant yaani nimemaliza kucommand tu naona msg ya 1Xbet tayari hapohapo.
Nimedeposit 10 EURO but nimekatwa kama 29K hivyo bado sijamaster vizuri hizi charges zinavyoapply japo lengo kwanza lilikuwa niweze kudeposit bila tatizo.
Kama kuna mwenye maswali karibu nitakujibu kile nilichofanya mm mpaka kufanikiwa.