Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu, kwa wale wanaopata shida kuweka hela kwenye akaunti zao za 1xbet njia rahisi zaidi na ya haraka ni kutumia visa prepaid card ukishinda mzigo unapata si zaidi ya nusu saa anaehitaji maelezo zaidi anicheki View attachment 1163018
Ungeweka wazi kila kitu hapa mana ishu ya 1xbet tangu mda ni gumzo...kwhy kama utakua na muda wako free wa kuingia humu jukwaani tena, jaribu kuelezea in brief na watu watapata mantiki ya hiyo njia!
 
Baadaya ya mapumziko ya Thursday... leo tunaendelea... nimechek matokeo ya Jana... yapo hovyo hovyo sanaa
Daah acha tu nmekosa hela ndefu sana Kwa Wolves na Rangers (3+)!Twende kazi leo mzee baba tunakusubiri.....utuokoe[emoji120]
 
Mkuu funguka kidogo basi

Process za kupata kadi zikoje
Namna ya kuweka na kutoa mkwanja

Unaenda kwenye benki mfano bancabc,uba, ecobank na elf 15 na kitambulisho na picha mbili unajaza fomu unapewa kadi yako hapo hapo
 
Baba pecha kudeposit inafaa je kuwithdrawal inakuaje na hyo visa prepaid card maana me najua inatransfer tu sidhan kama inapokea ela
 
IMG-20190726-WA0000.jpg
wakuu inahitajika moyo jiwe ila weka hata buku2
 
💯*

*Ho Chi Minh Vs Hai Noi*
Home or draw and over 1.5

*2.20 odds*


: *MAXB*
2.33 ODDS
RIED WIN
Dinamo Moscow win
*all d best #
 
Back
Top Bottom