Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Leo ni siku nyingine tena waliopigwa poleni waliopiga hongereni tucheki siku ya leo tunafanya vepee Jr
 
leo nipo kwenye ligi ya under 21

-TOTTENHAM HOTSPUR U21 VS. LEICESTER CITY U21 (gg) 1.44

- reading u21 vs southampton u21 (gg) 1.38

-
TROLLHÄTTAN VS. GAUTHIOD (gg) 1.59

odd 3.159648 x 50000=157,982 tsh/=

KAZI KWENU TIMU ZA USHINDI LEO SIJAONA KUSEMA KWELI JR

 
BRAGA WIN (1.71)
BESIKTAS WIN (1.76)
wazee hizi mechi mbili ni point tatu naomba tupeana ushauri kabla hazijashuka vipi watashinda hao Jr
 
BRAGA WIN (1.71)
BESIKTAS WIN (1.76)

ODD 3
WEKA ELFU KUMI UONDOKE NA 30000/= Jr

kule m-bet BRAGA KAPEWA (1.65) wakati BESIKTAS KAPEWA (1.80)
 
Odd kuanzia 1.62 mpaka 1.69 ni ya kijinga sana.Mara nyingi uwa zinagoma kat(draw) so kwa braga napo mmmhhh.
 
-TICKET YA BUREEE

Oerebro v/s Elfsborg. 2 WIN. 80%

-Guangzhou R&F F.C. v/s Guangzhou Evergrande. 2 WIN. 100%


Dinamo Minsk. v/s. FK Vitebsk. 1WIN. 90%

TUONANE BAADA YA MATCH
 
me nilikua na ushauri bora utafute poiny mbili ambazo unahisi kabisa zitatoa weka mshindo kuliko kuweka timu nyingi Jr
 
wezee wenzangu wa kuweka mzigo!
nataka mnisaidie kuchagua team 4 za maana nataka nitie 20 elf! je! nichague team gan?
 
wezee wenzangu wa kuweka mzigo!
nataka mnisaidie kuchagua team 4 za maana nataka nitie 20 elf! je! nichague team gan?

Baba ule mkeka wa jana vp ulikula,manake mashababi uliowaweka wengi wamefanya vizuri
 
Back
Top Bottom