Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,834
- 40,641
| Ludogorets | 2 - 0 | Bistritsa |
Ukimuotea second half hadi raha
Ludogorets 2 - 0 Bistritsa
magori kuna odd kiduchu. raha ya direct win ukichukua games 3 zinazoeleweka zenye odd zilizoshiba, treni lake hukosi od 7, 8 hadi 10. najua betting haina uhakika wa moja kwa moja ndiomaana hata odd ndogo inachana hivyo bora nichukue makubwa najua siwezi kulos mara 7 mfururizo lazima nimpige tuKwa ushauri tu, usiwe unawaendea direct wala double chance hao. Wapege magoli tu over 1.5
huyo arminia naona kama katibua sherehe mkuu, au option sijaielewa?
apate goli moja tuhuyo arminia naona kama katibua sherehe mkuu, au option sijaielewa?
WOOON TUKUTANE KWA WAKALA.INPLAY;
Mechi ya Ludogrets over 1.5 FT
Mapuuzi kweli! Yamepelea nikauza slip kwa hasara. Ile namalizia ku-click yanapata goli LA pili dk 90. Niliyapa OVER 1.5Ludogorets anakata viuno mamaeee ...
asante sana boy ile website iko vyema sana. nimeitumia kujiongeza timu zote 6 zimetikindiyo nimefanya hivyo leo. ngoja tuone siku inaishaje
presha ilikuwa juu hatariDah!! Thanx Arminia Bielefeld
Unaipataje?asante kwa mdau aliyeshare website ya league lane. nimeifaham siku nne zilizopita, nimebet mikeka minne kwa msaada wa tips zao(kila siku mkeka mmoja)
1. siku ya kwanza nikalose odds 9( arsenal tula alichana) ...stake 3500
2. siku ya pili nikawin odds 8.5(stake 3500)
3. siku ya tatu nikawin odds 11(stake 3000)
4. siku ya 4 ambayo ni jana, nikalos odd 17(malmo alichana)... stake 3000.
5. ngoja tuone leo siku inaishaje... odd 9!
Popote ulipo be blessed kwa hii hint mkuuu..Kuna website ya LeagueLane wanajitahid kuPredict kmtindo.... haina applictn halaf wanatoa analysis fresh
Naomba kujua kuhusu kuuza slipMapuuzi kweli! Yamepelea nikauza slip kwa hasara. Ile namalizia ku-click yanapata goli LA pili dk 90. Niliyapa OVER 1.5
mimi kaniua huyo arminia.asante sana boy ile website iko vyema sana. nimeitumia kujiongeza timu zote 6 zimetiki