Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,834
- 40,641
2+ ziwe uhakika nijilipue.Unataka odds ngappi nkutengenezee mdau
2+ ziwe uhakika nijilipue.Unataka odds ngappi nkutengenezee mdau
Zingatia hayaNimenunua Bitcoin kwa localbitcon na nimefata maelekezo yote lakini bado inagoma tu
Poa2+ ziwe uhakika nijilipue.
Gg & 3+ vipi?BOTOSONI
OV2.5
(2.00)
Telegram huna channel ya tips mdau2+
POGON OV2.5
FT
Una bet Total Under 3.5, hadi dk 90 bao 3
Refa anaongeza dk 10 na kutoa redcardView attachment 1166338
Mkuu nitengenezee odds 2 tafadhaliUnataka odds ngappi nkutengenezee mdau
55k mkuungapi mkuu umekosa tuomboleze wote
asante kwa mdau aliyeshare website ya league lane. nimeifaham siku nne zilizopita, nimebet mikeka minne kwa msaada wa tips zao(kila siku mkeka mmoja)
1. siku ya kwanza nikalose odds 9( arsenal tula alichana) ...stake 3500
2. siku ya pili nikawin odds 8.5(stake 3500)
3. siku ya tatu nikawin odds 11(stake 3000)
4. siku ya 4 ambayo ni jana, nikalos odd 17(malmo alichana)... stake 3000.
5. ngoja tuone leo siku inaishaje... odd 9!
Je?ukiweka yes na timu uliyochagua ikashinda vipindi vyote inakuajeKama haijafunga na uliweka win ume lose iyo ni kwamba mfano ukaweka away to win either half(YES) MAANA yake inatakiwa ishinde kipind cha kwanza au cha pili na ukiweka No isishinde kipindi cha kwanza au cha pilii hapa mfano ikatokea ameshinda kipindi cha kwanza then chapili hajashindii unakua ume win kinachotakiwa asi shinde vipind vyote.
leaguelane mzee didy!Inaitwajee
jamaa kwa anlys wako vizuri, jana nimechangua game 4, moja ikiwa na odd 2.34, ya pili odd 2.11 ya tatu odd 2, ya nne ambaye alikuwa malmo odd 1.75 akanichania. (option; direct win)Na mimi nimeifatilia ni nzuri hiyo web
mkuu ungeambatanisha hiyo web nifaidike nayo pia.asante kwa mdau aliyeshare website ya league lane. nimeifaham siku nne zilizopita, nimebet mikeka minne kwa msaada wa tips zao(kila siku mkeka mmoja)