Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Crdb wanatumia debit card kwa hiyo ni lazima upate shida kwa sababu mfumo wake ni kwa ajili ya online shopping eBay,Amazon etc sio kwa ajili ya online transactions za deposit na withdrawal njia rahisi ni prepaid card tu zaidi ya hapo utahangaika tu na hizo method zingine mm mwenyewe prepaid card nimeijulia hapa hapa jamii forum lakini sasa ndo mkombozi wangu kwa hiyo sio mbaya kuwapa na taarifa na wengine
Debit Card hata online transaction unafanya mm naitumia crdb card na haina shida..

Tofaut ya prepaid ni kuwa loaded tu na merchant wengi wanaaccept
Ila debit card haiwi loaded with money na unatumia connection kupitia bank ,etc ndo ufanye transaction haistand free kama prepaid card

But kama ni deposits na withdraw unafanya na

Deposit inachukua 1 to 5 min
Withdrew upto 15-30 min
 
Ishu ni urahisi wa kupata card yako maana hata ww unafahamu hakuna bank tanzania inayotoa debit card instantly lazima usubiri almost wiki nzima lakini prepaid unapewa instantly na inakuwa tayari kwa matumizi
 
Zina utofauti gani mzee kwenye upande wa option??

Kwenye parimatch ya Ukraine kuna option za stats kama
Shot on target
Shots all
Ball possession

Hizi option ukifanya hesabu zako vizuri ni utajiri unaotembea ila sio za kucheza kila siku kuna wakati flani tu ndo zinakuwa sure sana unakaa unasubiri hela tu
 
Wakuu hivi watu wa voda hawamo HUKU kweli watusaidie juu ya changamoto hii?
 
Back
Top Bottom