Wakuu tuwashawishi voda mastard yao waiboreshe iweze kutuma na kupokea pesa mtandaooni has a xbet naona watafanya biashara
Wakuu mbona mnahangaika na vitu vya ajabu prepaid card ndo mwisho wa matatizo njia rahisi ya kuweka na kutoa 1xbet tatizo mtu akitangaza sana kitu fulani wana jukwaa mnahisi kuna utapeli ila ndo hivyo tena kwa wale waelewa sasa hv wameshaanza kutumia isitoshe ile mastercard ya voda ni kwa ajili ya online shopping tu sio kwa ajili ya online transactions za deposit na withdrawal