Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Yaani siku ya jana na leo sitakaa nisahau..mechi nilizoziamini zimetoa matokeo nisiyoyategemea.
Nimepigwa kama mbwa koko[emoji16][emoji16][emoji16]
eti leo wanatoka 0-0
1564204345199.png
 
Ligi za usiku mwingi ndio za pesa..mliopigwa poleni..nagonga kahawa hapa,napiga tizi mdogomdogo maana usingizi nao! Ukizingatia kesho kwenye utafutaji Kama kawa..
 
MAXBET ALL UR MONEY
༶•┈♛GodsEyeVIPTips Free♛┈•༶

⌚ 21:00 Brasileiro Serie A
⚽ Santos FC - Avai FC SC
📊 Tip : Santos FC Win
✴ODDS : @ 1,34

⌚ 21:30 Bolivia, Division Profesional
⚽ Bolivar La Paz - Real Potosi
📊 Tip : 12 HT
✴ODDS : @ 1,25

⌚21:00 Brasileiro Serie A
⚽ Flamengo RJ - Botafogo RJ
📊 Tip : Home Team Wins Either Half
✴ODDS : @ 1,20

TOTAL ODDS : @ 2,00
 
Game ya maribor kuna kadi.mpe maribor anashinda
 

Attachments

  • Screenshot_20190728-220027.png
    Screenshot_20190728-220027.png
    18.5 KB · Views: 35
Kuweka inakubali je! uliwahi kutoa kwa kutumia kadi ya benk? je unatumia benki gani? mimi niliwahi kutumia nbc M 8 yangu iligoma kabisa kutoka mpaka nikaicheza hovyo hovyo ikaisha
Mi natumia Standard chartered bank, hii haina longolongo hata kidogo mkuu, si muda mrefu nimetoka kuwithdraw na picha nimekuwekea
 
Wakuu tuwashawishi voda mastard yao waiboreshe iweze kutuma na kupokea pesa mtandaooni has a xbet naona watafanya biashara
 
Back
Top Bottom