Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,367
- 55,054
Hii timu kama vile ina majini.Aiseeee
Hii timu kama vile ina majini.Aiseeee
Tukienda Kenya ndio basi tenaHii timu kama vile ina majini.
Kingine kimeitika, Aiseee.
#MAWINDONI
![]()
I feel u bro! Hii feeling huwa inanikuta mara nyingi sana tu ! Cha msingi jipe likizo baada ya Muda utatamani kurudi kazini na nguvu mpya! Tatizo wengi wetu tumebase namna ya kumla tuu tunasahau kujifunza ni wakati gani wa kupumzika au kufunga mahesabu baad ya kupigwa na kanji mwisho wa siku tunapunwa yoooote
Pamoja sanaUkiamini, ambaa nao.... join now and win with me! https://www.betpawa.co.tz/share-cd4cf3325 View attachment 1165647
Malmo pia mkuu sijui imekuaje dah!Hii Midtyland imekula maharage ya wapi vile? Dah!
Mzee hizi ligi ndo zimeanza. Hizi mechi za mwanzoni kila mtu anakuja na moto mzee so yoyote anaweza lambishwa nyasi..Malmo pia mkuu sijui imekuaje dah!
So inabidi kusoma game zinavyoenda mana ni full of suprisesMzee hizi ligi ndo zimeanza. Hizi mechi za mwanzoni kila mtu anakuja na moto mzee so yoyote anaweza lambishwa nyasi..
Skrill MkuuWanaotumia 1×bet em tuelekezeni jinsi ya kudeposit hela njia raisi tofaut na bitcoin
Njia nzuri ya kudepost na kuwithdraw ni Visa na MasterCard haina longolongo, mi ndo naitumiaWanaotumia 1×bet em tuelekezeni jinsi ya kudeposit hela njia raisi tofaut na bitcoin
Mkuu kinacho washinda wengi kutumia Bitcoins ndio hicho kiko na huko VisaNjia nzuri ya kudepost na kuwithdraw ni Visa na MasterCard haina longolongo, mi ndo naitumiaView attachment 1165728
Watu inabidi wabadilike, kuwe na malengo ya muda mrefu, ukitumia kampuni kama 1xbet una uwanja mpana wakumpiga kanji tofauti na kampuni zetu za bongoMkuu kinacho washinda wengi kutumia Bitcoins ndio hicho kiko na huko Visa
Minimum withdraw
Bitcoin ni 100,000+
Visa nayo hivyohivyo
Wengi wanataka akila elf30 anatoa elf20 fasta
Bitcoin ni poa tu maana huendi popote zaidi ya kucheza na simu yako mwanzo mwisho