Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Inategemea na strategy za mtu mkuu

Limit ya mtaji
Limit ya stake
Limit ya kubet kwa siku
Nk

Kwa mujibu wa watatifi japaokua betting ni ubahatishaji lakini ili uwe kwenye nafasi nzuri ya kufanya vizuri ni lazima uwe na utaratibu wako na uuheshimu kweli

Vinginevyo utakua unadeposit kila siku iwapo utakua unabakiwa na mtaji mdogo sana kwasababu uliwithdraw mkwanja wote pindi unapokula tu
[emoji120][emoji120][emoji120] kabsaaa, strategy & nidhamu ni mambo ya msingi sana mkuu
 
IMG-20190728-WA0076.jpg
 
Wakuu samahani mgeni na nimejarubu kubet mara kadhaa nakula mara na pigwa ila sijajua kampuni nzuri ya kubet natumia sana mbet kwenye simu yangu naomba ushauri coz naona mnapost vitu nyengine wala hakuna mbet wala baadhi ya timu mnazipost hazipo humu pls naombeni ushauri

Ina maana Mkuu hausikizi redio? Hauangalii TV ? Haupo Fb? Haupo insta? Hauna rafiki anayebeti? Yani kila kona Matangazo ya kampuni za betting yametawala mara sportpesa, mara betpawa, hujaangalia hata Afcon ukaiona 1x bet kwenye bango? Aisee pole sana Mkuu Mbet ni kampuni mbovu namba 1
 
Wakuu samahani mgeni na nimejarubu kubet mara kadhaa nakula mara na pigwa ila sijajua kampuni nzuri ya kubet natumia sana mbet kwenye simu yangu naomba ushauri coz naona mnapost vitu nyengine wala hakuna mbet wala baadhi ya timu mnazipost hazipo humu pls naombeni ushauri
Kaangalie Princess bet, Parimatch, Meridian.
 
gg 80%
1564191008457.png



AGF Aarhus - FC Midtjylland Both Teams To Score - FT (Yes)



Lugano - Thun Both Teams To Score - FT (Yes)



Mlada Boleslav - Opava Both Teams To Score - FT (Yes)

total odd 4.8+up to 5+
utanishukuru badae
 
Victoria koln HT DRAW
CSKA Moscow HT DRAW
Defensa HT DRAW

SINGLE GAME

8.5 odds
 
Nakubaliana na ww kabisa mkuu. GSB wako poa sana.
Kasoro pekee ni upande wa kutoa pesa kuja direct kwenye simu hawana, wakiweka hilo sawa watakuwa kimbilio la wengi.
Wanayo me natoa kwa mpesa iko fasta
 
Kuna kitu kuhusu betting kinanitokea
Iwe single au mkeka lazima point moja au goli moja litamiss.

Nafikiria kuacha maana nahisi kama inanikataa na napoteza alot kila siku.

I feel u bro! Hii feeling huwa inanikuta mara nyingi sana tu ! Cha msingi jipe likizo baada ya Muda utatamani kurudi kazini na nguvu mpya! Tatizo wengi wetu tumebase namna ya kumla tuu tunasahau kujifunza ni wakati gani wa kupumzika au kufunga mahesabu baad ya kupigwa na kanji mwisho wa siku tunapunwa yoooote
 
Back
Top Bottom