Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Minnesota United vs Vancouver Whitecaps__ HW
FC Dallas vs Real Salt Lake__ HW
San Jose Earthquakes vs Colorado Rapids__ HW

Wakuu samahani mgeni na nimejarubu kubet mara kadhaa nakula mara na pigwa ila sijajua kampuni nzuri ya kubet natumia sana mbet kwenye simu yangu naomba ushauri coz naona mnapost vitu nyengine wala hakuna mbet wala baadhi ya timu mnazipost hazipo humu pls naombeni ushauri
 
Kwa bongo kampuni nzuri ni 2 tu,meridian bet online au premier bet online
 
Wakuu..kwa mara ya kwanza nimejiunga na Meridian maana kampuni nyingne wanabania sana options,sasa tatizo kila niki deposit kwa M pesa napata hii meseji “The 6GS32L1P31P transaction is cancelled.”
 
Ukiamka usiku wakati mashetani kupotosha ya wenye kampuni za kubet yamelala lazima upate coz unakuwa wewe na hisia zako za ukwel tu.
 
Attachments

  • Screenshot_20190728-080725.png
    Screenshot_20190728-080725.png
    38.4 KB · Views: 34
Yaani weekend dissapointed sana Chief timu kubwa kibao zimepoteza 180K Loss.
Agrrh.. [emoji24] [emoji24]
Mkuu me nimepigwa sh 156000 sina hamu kabisa,juzi kachana derry city win or draw,jana(mchana) yule wa ujeruman tips za profesa,56 elfu iliyobaki akamailizia Fc Basel.
 
Mkuu me nimepiga sh 156000 sina hamu kabisa,juzi kachana derry city win or draw,jana(mchana) yule wa ujeruman tips za profesa,56 elfu iliyobaki akamailizia Fc Basel.
Mkuu betting ukipiga hata laki toa robo 3 kale maisha bakiza kiduchu nashangaa watu wanaosemaga wanakuza mitaji hakuna kitu kama icho kwenye betting ni kula au kuliwa.
 
Mkuu betting ukipiga hata laki toa robo 3 kale maisha bakiza kiduchu nashangaa watu wanaosemaga wanakuza mitaji hakuna kitu kama icho kwenye betting ni kula au kuliwa.
Hjyo kweli kabsa, kuna siku nilidepost elfu kumi nikacheza basket mda c mrefu ikafika themanini elfu, bwana weee wakaanza jamaa sijui wa wapi hao walikomba hela yote, niliumia nikasema nimetengeneza hela kwa mda mfupi na imeondoka kwa mda mfupi[emoji23][emoji23]
 
Mkuu betting ukipiga hata laki toa robo 3 kale maisha bakiza kiduchu nashangaa watu wanaosemaga wanakuza mitaji hakuna kitu kama icho kwenye betting ni kula au kuliwa.
Inategemea na strategy za mtu mkuu

Limit ya mtaji
Limit ya stake
Limit ya kubet kwa siku
Nk

Kwa mujibu wa watatifi japaokua betting ni ubahatishaji lakini ili uwe kwenye nafasi nzuri ya kufanya vizuri ni lazima uwe na utaratibu wako na uuheshimu kweli

Vinginevyo utakua unadeposit kila siku iwapo utakua unabakiwa na mtaji mdogo sana kwasababu uliwithdraw mkwanja wote pindi unapokula tu
 
[28/07, 6:40 AM] King Ov 2.5: *_Booking Number:Z5F2F5NN_*

Code 1594 Date 28/07/2019 08:00
Event Hakoah - Sydney United
Live/Prematch Prematch Selection Over1.5

Code 1989 Date 28/07/2019 07:00
Event South Melbourne - Dandenong Thunder
Live/Prematch Prematch Selection Over1.5

Code 6006 Date 28/07/2019 06:00
Event Gungahlin United FC - Woden Weston FC
Live/Prematch Prematch Selection Over2.5

Code 6104 Date 28/07/2019 05:30
Event Charlestown City - Valentine FC
Live/Prematch Prematch Selection Over2.5

*_2.07odd_*

*_Stake: ₦ 25,000.00_*

*_Malaysia Money💰_*
[28/07, 6:55 AM] King Ov 2.5: *_Happy Sunday to u all I want to go for 6am mass to come back early_*

*_Booking Number:Z5F2DWD6_*

Code 1371 Date 28/07/2019 12:35
Event Wuhan Zall - Shanghai Sipg
Live/Prematch Prematch Selection 12 & Ov1.5

Code 1800 Date 28/07/2019 12:35
Event Jiangsu Suning FC - Shenzhen FC
Live/Prematch Prematch Selection 12 & Ov1.5

Code 1386 Date 28/07/2019 07:00
Event Sydney Olympic - Marconi Stallion
Live/Prematch Prematch Selection Over2.5

Code 1594 Date 28/07/2019 08:00
Event Hakoah - Sydney United
Live/Prematch Prematch Selection Over2.5

Code 6011 Date 28/07/2019 06:00
Event Tuggeranong Utd - Monaro Panthers FC
Live/Prematch Prematch Selection Over2.5

*_5.73odd_*

*_Stake: ₦ 25,000.00_*

*_Malaysia Money💰_*
[28/07, 7:20 AM] King Ov 2.5: *_Booking Number:Z5F2DHPF_*

Code 6032 Date 28/07/2019 10:00
Event Sangaing United - Yangon United
Live/Prematch Prematch Selection 12

Code 6038 Date 28/07/2019 10:00
Event Gamba Osaka - AC Nagano Parceiro
Live/Prematch Prematch Selection 12

Code 2261 Date 28/07/2019 11:00
Event Abahani Ltd. Chittagong - Nofel Sporting Club
Live/Prematch Prematch Selection 1

*_2.00odd_*

*_Stake: ₦ 25,000.00_*

*_Malaysia Money💰_*
 
Inategemea na strategy za mtu mkuu

Limit ya mtaji
Limit ya stake
Limit ya kubet kwa siku
Nk

Kwa mujibu wa watatifi japaokua betting ni ubahatishaji lakini ili uwe kwenye nafasi nzuri ya kufanya vizuri ni lazima uwe na utaratibu wako na uuheshimu kweli

Vinginevyo utakua unadeposit kila siku iwapo utakua unabakiwa na mtaji mdogo sana kwasababu uliwithdraw mkwanja wote pindi unapokula tu
Nakubali Mkuu
 
Back
Top Bottom