Tennis bwana ukiijulia ina pesa...ina odds nzuri ila dah sinaga utaalamu nayo kabisa..Kwa wanaofuatilia Tennis, mfuateni huyu mGeorgia Nikoloz Basilashvili ... hela hii
View attachment 1164527
ila pia huwa ina matokeo ya kushangazaTennis bwana ukiijulia ina pesa...ina odds nzuri ila dah sinaga utaalamu nayo kabisa..
Mapambano yaendelee
MKUUUUUAcha nirudi premierbet hii weekend. Meridianbet wanafaa siku za katikati ya wiki tu na usiku mkali. Wapuuzi sn hawa watu.
Tujipe pole Nordhausten - Leipizg wametusononesha.
![]()
Baada ya kuwatukana wameamua kurekebisha kwa muda kinetwork chao.![]()
Pole mkuuWeekend sijui huwa zina nini aisee, mitimu mingi na vipigo vya kutosha mamaeee. 200K imeshaenda na maji. Ngoja nimsubiri Basilashvili arudishe hiyo. Else nitahesabu kupoteza 300K leo.
Noma sn.Pole mkuu
Ameshatepeta ... hii set ya 3 alianza vzr games 3 za mwanzo sijui nini kimempata ... anaelekea kupigwa.Basilashivil ana odds 7 kushinda