Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Aaha mchana muhindi alikuwa anakufa leo anabahati sana.

Ngoja nitafute mtaji wa baadae live game.
 
Nani yuko gudi kwenye live game za basket? coz ndo sehemu za kutengenezea mtaji ukiishiwa
 
Mkeka wa kuvurugwa bado unapumua.
 

Attachments

  • Screenshot_20190727-194647.png
    Screenshot_20190727-194647.png
    43.7 KB · Views: 27
  • Screenshot_20190727-194730.png
    Screenshot_20190727-194730.png
    54.7 KB · Views: 27
wasi wasi wangu ni kwa standard gauge 😛😛😛😛😛 hahaha standard liege hawa ndo vimeo sijui.
 
Liege hata mie nlikuwa na mashaka sana
Basel naye anakata mauno tu
 
Wakuu naomba kuuliza, naweza kudeposite kwenye 1xbet kupitia Bank? Bank gani? Na kiwango cha kuweka na kutoa ni kiasi Gani?
 
Treni ya kuvurugwa bado kituo kimoja...plzen anaongoza moja tayar
 

Attachments

  • Screenshot_20190727-204806.png
    Screenshot_20190727-204806.png
    48.2 KB · Views: 28
Wakuu naomba kuuliza, naweza kudeposite kwenye 1xbet kupitia Bank? Bank gani? Na kiwango cha kuweka na kutoa ni kiasi Gani?

Bancabc unatumia visa prepaid card ni rahisi sana kuipata hiyo card uwe na 15k na kitambulisho tu
 
Back
Top Bottom