Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kudeposit na kuwithdraw ni bure kabisa gharama pekee ni kuweka salio kwenye kadi kwa mpesa au tigopesa mfano laki unaktwa 2800
Mkuu hebu screenshot hy option ya kudeposit na kuwithdraw kwa njia ya prepaid card ya Uba bank kwenye account ya 1xbet tuione
 
Still rolling....
Screenshot_20190727-220814.jpg
 
Hzi ni pre season wazee msikamie sanaa...acheni ligi zianze ndo kazi za uhskika zianzee...hzi game ni za kupasha moto[emoji4][emoji4]
Kuna kitu kuhusu betting kinanitokea
Iwe single au mkeka lazima point moja au goli moja litamiss.

Nafikiria kuacha maana nahisi kama inanikataa na napoteza alot kila siku.
 
Kuna kitu kuhusu betting kinanitokea
Iwe single au mkeka lazima point moja au goli moja litamiss.

Nafikiria kuacha maana nahisi kama inanikataa na napoteza alot kila siku.
daah pole sana.

kuna muda unaweza kujihisi una gundu. sio wewe tu wengi tunapitia hilo. lkn kuna muda upepo unaweza kunyooka mpaka unasahau yoote
 
Basel shenz sana nilikuwa na mashaka naye mnooo nikaona nichez double chance lakn nayo holaaa timu zilizocheza kufuzu ueropa au Uefa katkat ya wiki miyeyusho sana
 
Kuna ambaye anajua football index ni kama betting lakn tofaut unabetia wachezaji uwezo na makali yao wao uwanjani
Mfano : tumchukulie Mbappe unaweza ukamnunua kwa bei waliokupangia mf.10k alaf
cku ikatokea kacheza vizuri au kawa man of the match ile bei yake inapanda zaidi ya pale ulipomnunua kwa hyo unamsell back tena kwa wao labda kapanda thamani hadi 80k bonge la faida kama ukiwa na mpunga mrefu na ukawa mvumilivu na pia huwa bei yake inapanda hta asipocheza kwa hyo unaweza ukanunua baadhi ya wachezaj ukion bei yao imepanda hata kidogo una sell unakusanya faida mdogo mdogo

NB:Hata kuloose inawezekana hakuna mtu anafanya kitu kisichokuwa na faida mfano kama Degea au pogba viwango vyao sometime vinashuka sana mda mwngne vnapanda kwa hyo kama umewanunua kwa bei kubwa unaweza ukashangaa thaman yao inaenda hadi kwenye negative kwa hyo una loose maan hii mambo inaend kwa timing...
 
Back
Top Bottom