Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Pole..siku hazifanani...by the way tunatokaje Leo..najua unasukaga mikeka fulani hv amazing..
Huu hapa
Screenshot_20190727-100713.jpeg
 
WWahunii waleeee
1xbet sio ya kuogopa maana saiv wanasponsor, Barca,liverpool, Chelsea na laliga ila ukitaka kuifurahia verify sehemu zote wanazotaka ukiwapiga mpunga mrefu hawatakubali uitoe bila hzo verification na nahisi ipo siku uku Tanzania wataifungia kuna baadhi ya mataifa yameifungia 1xbet sasa hapo me ndo nashndwa kuelewa shida yake iko wapi mbn makampuni mengine kama bet360 ,william hill au paddypower ziko world wide na ni kubwa lakin hawana sekeseke la hilo la 1xbet
 
Jamani wakuu naomba ufafanuzi kuhusu ishu ya kodi kwenye betting kwanini kila kampuni inaandika kwenye mkeka makato ya 20% halafu wengine wanakupa hela yako yote kamili wengine wanakata mm binafsi siwezi kutumia zile kampuni zinazokata kodi kwenye ushindi maana kama uliweka 100k ukashinda 150k halafu wakate kodi maanake hapo unafanya kazi ya kumlisha kanji!!!
 
Back
Top Bottom