Sisi wa 0.5 over tumepona...!!!Tyr zimeshafika 4,hapo si itakuwa lost? moreta
Yeah meridianbe ilifanya nikageukia upande wa pili wa Over 0.5. Kwetu mambo ni fresh kabisaSisi wa 0.5 over tumepona...!!!
Aliyefuata bet wonHivi nimemuelewa
HIOO NDIO MWENDO MZIMA LIGI IKIANZA ATAJIPENDA MHINDI LÀBDA ASHTUKE ATOESisi wa 0.5 over tumepona...!!!
Jana napo kitimu nilichokiamini hakijafunga hata goli
Pole..siku hazifanani...by the way tunatokaje Leo..najua unasukaga mikeka fulani hv amazing..Proffesor tuko pamoja. Los angles nilitaka niweke nako over 0.5.
Odd zikawa ndogo mno. Ikabidi niweke kama wewe 1-3 ndio katuchania.
Nimeshtuka saa 11 asubuhi dakk ya 30+ 2-1 niliweka 28000 ilikuwa nipige 56000 turbo nikakuta 53000 nikataka kuturbo nikaghairi nikasema ngoja nichungulie live score tena. Kumbe lilikuwa kosa😀.
Kurudi turbo wameiondoa ubao ukawa 2-1 daaaa😀😀😀
Nikajua hapa ishakula kwangu.
But still tuko pamoja naamini.
Natengeneza mkuu. Badae kidogo nataka nitest wajapan ht double chance.Pole..siku hazifanani...by the way tunatokaje Leo..najua unasukaga mikeka fulani hv amazing..
Thanks! Bet wonSio hii Toronto... n new Redbull... Ngoja naenda kubet shop
1xbet sio ya kuogopa maana saiv wanasponsor, Barca,liverpool, Chelsea na laliga ila ukitaka kuifurahia verify sehemu zote wanazotaka ukiwapiga mpunga mrefu hawatakubali uitoe bila hzo verification na nahisi ipo siku uku Tanzania wataifungia kuna baadhi ya mataifa yameifungia 1xbet sasa hapo me ndo nashndwa kuelewa shida yake iko wapi mbn makampuni mengine kama bet360 ,william hill au paddypower ziko world wide na ni kubwa lakin hawana sekeseke la hilo la 1xbet