Ta Kamugisha
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,550
- 2,200
Tumeingia chaka profSio hii Toronto... n new Redbull... Ngoja naenda kubet shop
Tumeingia chaka profSio hii Toronto... n new Redbull... Ngoja naenda kubet shop
Tumeingia chaka prof
nakusubiriSio hii Toronto... n new Redbull... Ngoja naenda kubet shop
nakusubiri
yaap genk kapigwaGenk na Stuttgart nimewachelewa naona washapataView attachment 1163739
Mkuu hao wote ni jamaa moja na wamiliki wapo RussiaHyo 22bet sidhani kama inamilikiwa na 1xbet alaf hakunaga legal website zinazofanana feature alaf chakushangaza 1xbet ilianzishwa 2007 na yenyewe 2017 alaf et makao makuu wote ni Uk ni kama scam vile lakin cjui hapo
Bet woonGenk Win.. Odd 1.72
Kilio cha wengi hichi, kibaya zaidi tatzo linakuwa kubwa ligi inakaribia kuanzaa yan unabaki uelew unaenda wapi, lakin me bado na imani kubwa tutapata ufumbuzi tu jinsi ya kuweka na kutoa soon tuwe wavumilivu tu japo ni kazi kweli aiseedah!! yaani bila 1xbet naona kama napoteza pesa zangu mingi sana kwenye hizi local company.
kwasababu ya option zao za kiujanja ujanja,, kama betpawa wakiona game inauwezo wa kupata magoal kuanzia mawili wenyewe wanakuwekea kuanzia 4 alafu odds utakuta ni 1.35 lakini 1xbet wenyewe wanaweka kuanzia magoal 2 . yaani wote mpate Ukikosa umekosa mwenyewe
alafu kitu kingine ni kwamba kampuni za kibongo ukitaka kutajilika uwe na mtaji mkubwa lakini sisi ambao tunaweka buku buku 1xbet ndio ilikua mkombozi wetu kwasababu ina options za kutoliwa pesa, kwamfano ile option ya First one can be own goal?? nilikuwa naweka team 20 zote No na zote zina win
Kesho tutajua mbivu na mbichi maana walisema trh 27 wanarudisha hewani safaricomKilio cha wengi hichi, kibaya zaidi tatzo linakuwa kubwa ligi inakaribia kuanzaa yan unabaki uelew unaenda wapi, lakin me bado na imani kubwa tutapata ufumbuzi tu jinsi ya kuweka na kutoa soon tuwe wavumilivu tu japo ni kazi kweli aisee
All in all mapambano yaendeleew
Ila kwa mimi ninavyoona hapa kampuni hizi hizi za kibongo ndio zimefanya figisu figisu ili payment method zitolewe alafu zibaki zile ngumu ngumu ili watu wasikimbilie huko 1xbet maana walikuwa wanahama kama mvua wakikimbilia 1xbet wakaona wateja wanaisha wakaenda kwa bodi ya kubetisha tz wakahonga mipesa wakawafungia kisa kodi na mpaka mwezi uliopita niliongea na yule jamaa wa M-lipa akawa ananiambia kuwa 1xbet waliambiwa walipe kodi ya serikal ya nyuma tangu walipokuwa wanabetisha alafu wakate leseni ya kubetisha tz wakalipa tangu 2017 Desember lakini mpaka sasa hawajapewa idhini ya kuweka payment za hapa tzKilio cha wengi hichi, kibaya zaidi tatzo linakuwa kubwa ligi inakaribia kuanzaa yan unabaki uelew unaenda wapi, lakin me bado na imani kubwa tutapata ufumbuzi tu jinsi ya kuweka na kutoa soon tuwe wavumilivu tu japo ni kazi kweli aisee
All in all mapambano yaendeleew
Suala lenu sitaki niingilie sana,ila system kukosea ni kawaida,ishawahi nitokea meridian ,game 1 ikawekwa lose.Nimeongea na mdada mmoja wa Gal sport anadai hii ni system na haijawah kukosea hata siku moja
[emoji23][emoji23][emoji23]pole mkuu..Meridianbet ni WAPUUZI na WAJINGA kuanzia kibaraka wa kwanza hadi wa mwisho.
Hivi hawa mamalia hawana mtu wa IT au wao wanatumia meridian nyingine tofauti na hii tunayotumia sisi! Huwezi kuwa kiongozi wa kampuni kila siku unapewa malalamiko na wateja wako tena yale yale ya siku zote ila bado unapeleka kamasi ofisi ukijiita Meneja/Mkuu.
Tatizo la miaka nenda rudi mmeshindwa kulitatua kweli? Nyie ndiyo mnasumbuliwa na network kuliko betting company nyingine? Wapuuzi wakubwa nyie.
Mkuu omba wasirudi maana wata customize kwa soko la tz na wafanya ujinga kama wenzao wa hapaIla kwa mimi ninavyoona hapa kampuni hizi hizi za kibongo ndio zimefanya figisu figisu ili payment method zitolewe alafu zibaki zile ngumu ngumu ili watu wasikimbilie huko 1xbet maana walikuwa wanahama kama mvua wakikimbilia 1xbet wakaona wateja wanaisha wakaenda kwa bodi ya kubetisha tz wakahonga mipesa wakawafungia kisa kodi na mpaka mwezi uliopita niliongea na yule jamaa wa M-lipa akawa ananiambia kuwa 1xbet waliambiwa walipe kodi ya serikal ya nyuma tangu walipokuwa wanabetisha alafu wakate leseni ya kubetisha tz wakalipa tangu 2017 Desember lakini mpaka sasa hawajapewa idhini ya kuweka payment za hapa tz
huu mpunga mrefu ni kuanzia ngapiMkuu hao wote ni jamaa moja na wamiliki wapo Russia
1xbet
1xbit
22bet
Winnerbet
Nk
Wanafanana kila kitu kasoro muonekano kidogo
Na 1xbet ndio kampuni mama