Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Vitimu vingine bwana. Perth Glory u21 anasepa na hela hapa. Nliwaomba wachangie goli 1 tu na mwenzake
 
Najaribu kusoma review kuhusu 22bet natishika kidogo.
Hiyo na 1xbet ni majanga, kwa mfano ukizicheki kwenye Askgamblers.com utaona zimewekwa kwenye blacklist kutokana na kutokuwa waaminifu kwa wateja wao.
Kwa sisi huku tunazitumia tu kwa sababu tunashindaga hela za mboga
 
Na wenye macho Waone hapa.......
Screenshot_20190727-120835.jpeg
 
Back
Top Bottom