Mimi natumia crdb unajua procedure unielekezeWatu inabidi wabadilike, kuwe na malengo ya muda mrefu, ukitumia kampuni kama 1xbet una uwanja mpana wakumpiga kanji tofauti na kampuni zetu za bongo
Mimi natumia crdb unajua procedure unielekezeWatu inabidi wabadilike, kuwe na malengo ya muda mrefu, ukitumia kampuni kama 1xbet una uwanja mpana wakumpiga kanji tofauti na kampuni zetu za bongo
Duh !! hii benki huwa naona wanaoungua akaunti huko ni mabepari tuu, makabwela wala siwaonagi huko na ninadhani hatakiwango cha kufungua akaunti ni kikubwa na wamelenga wateja mapapa ni sii vidagaaMi natumia Standard chartered bank, hii haina longolongo hata kidogo mkuu, si muda mrefu nimetoka kuwithdraw na picha nimekuwekea
Been a time Bro.Wakuu
Habari zenu, Poleni na Mapambano
rudi mkuu tuendeleze mapambano au umeweka silaha chiniWakuu
Habari zenu, Poleni na Mapambano
Nipo mkuu, Nitarud ulingoni mda si mrefu.Been a time Bro.
Niko fiti mkuu, sema nakua bize sana. Huwa nabet Mara moja moja 1xbet nikiwa free kwa kuvizia.rudi mkuu tuendeleze mapambano au umeweka silaha chini
Mapambano yanaendelea mkuu.Salama tu..
chief umepotea sana naona jukwa kama limepoa ila mapambano kama kawaida
Mkuu, kinaendelea nn hapa,mbona km mmama yupo juu ya kitanda,au network ya meridian [emoji23][emoji23]#MAWINDONIView attachment 1165673
Ha haaaaaaaaaMkuu, kinaendelea nn hapa,mbona km mmama yupo juu ya kitanda,au network ya meridian [emoji23][emoji23]
Flamengo amesababisha ajali kwenye treni iliyosukwa na Steve Mollel.
Bora ninge-cashout mwishoni.
Aiseee ni hatari kabisaFlamengo amesababisha ajali kwenye treni iliyosukwa na Steve Mollel.
Bora ninge-cashout mwishoni.
#MAWINDONIView attachment 1165673
MAXBET ALL UR MONEY
༶•┈♛GodsEyeVIPTips Free♛┈•༶
⌚ 21:00 Brasileiro Serie A
⚽ Santos FC - Avai FC SC
📊 Tip : Santos FC Win
✴ODDS : @ 1,34
⌚ 21:30 Bolivia, Division Profesional
⚽ Bolivar La Paz - Real Potosi
📊 Tip : 12 HT
✴ODDS : @ 1,25
⌚21:00 Brasileiro Serie A
⚽ Flamengo RJ - Botafogo RJ
📊 Tip : Home Team Wins Either Half
✴ODDS : @ 1,20
TOTAL ODDS : @ 2,00
Ah ah ah saaana asee..Ha haaaaaaaaa
Mkuu imebidi nicheke peke yangu kama chizi vile
Betting sometimes inavurugaaa