Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Red asubuh
Screenshot_20190729-042230.jpeg
 
Duh !! hii benki huwa naona wanaoungua akaunti huko ni mabepari tuu, makabwela wala siwaonagi huko na ninadhani hatakiwango cha kufungua akaunti ni kikubwa na wamelenga wateja mapapa ni sii vidagaa
Uoga wako tu, lkn mtu yeyote anaweza kufungua account huko
 
Mwenye uzoefu na crdb card kweny kudeposit 1 bet. Anipe uzoefu haisumbui?
 
Wapi proff mzee baba tunakutegemea an galau tupate hata kiasi,...
 
Vp hiyo option ya "away to win either half " ipoje? ningepata elimu kidogo.

Vp kama timu haijafumga kabisa??
Kama haijafunga na uliweka win ume lose iyo ni kwamba mfano ukaweka away to win either half(YES) MAANA yake inatakiwa ishinde kipind cha kwanza au cha pili na ukiweka No isishinde kipindi cha kwanza au cha pilii hapa mfano ikatokea ameshinda kipindi cha kwanza then chapili hajashindii unakua ume win kinachotakiwa asi shinde vipind vyote.
 
Back
Top Bottom