Hii ndo shida ya kupewa samaki. Mkuu omba nyavu ushuke baharini kuvuaProff wapi jamani
OyooooYa mwisho
Nishapigwa kilo moja fastaView attachment 1167073
Hii option ni kisirani sana..ila inakuaga na odd za kiutu uzima sana!WaKorea wote wametoa First Goal Time 28+ ...
I wish i knew.
Gud..mkuu hiyo option ya Man u ni nn mana meridian hawa wana option zao zimekaa kirumi rumi sanaHii ndo shida ya kupewa samaki. Mkuu omba nyavu ushuke baharini kuvua
Jaribu bahati yako[emoji116]View attachment 1167121
Hapo ni kwamba Man Utd apate walau goli moja kila kipindiGud..mkuu hiyo option ya Man u ni nn mana meridian hawa wana option zao zimekaa kirumi rumi sana
Bet won
Mfuate PMKwani proff amekimbia hili jukwaa?
[emoji23][emoji23][emoji23]watu tuna gundu tukifata mikeka yake tunamponza na yeye inachanikaKwani proff amekimbia hili jukwaa?