WOOOONPesa ya usiku hiyo, usije kusema hukuiona.
#Tukutane dirishani.View attachment 1167616
Kupishana na hela inauma sna.. Daah!
Inauma snaaSTAKE ALL UR MONEYView attachment 1167181
Bettting bwana sasa madrid hata kagoli kamoja na hao waingereza watoto duuu wenzao wote walitia goli zaid3ya nneHakuna kitu inauma kama hii mzee baba pole
Ya gg ni ngumu labda uwe unajua kuchungulia sana na hiyo over 2.5 sana uholanz.bolivia.Australia baddhi ya mechi na uingereza wale wstoto sourthern na northernOption hii imekaa njema pia ntaanza kuitumia
Natumia Bitcoin mkuumkuu unatumia njia gani kufanyia malipo?
Pole Mkuu
Ngoja nichungulie mechi za leoPole Mkuu
Mechi zimishakuwa nyingi Possibility ya kushinda ni ndogo na ndio maana kanji akaja na kitu ya kuitwa jackport, akakuwekea bonus betpawa kadri unavyojaza mamechi yani mbinu zoote hizo wataalamu walishakaa chini wakacalculate majibu yakaja faida ipo kwao thats why wakaanzisha hii biashara ! There is no any fucking formula that wil beat this fuc*er consistntly
Wakuu kuna alieweza kudeposit kwa tigo pesa au mpesa leo kwenda meridian naona kote naambiwa transaction is cancelled
Inauma snaa
Imebidi nilog out ili nijaribu kuingia tena imegoma hawa jamaa hawako serious na business kabisaMi nimejaribu hata kulog in inakataa pumbafu sana hawa
Mkuu nakuona uko vizuri sana kwenye uchambuzi tafadhali uwe unashare na mimi japo kidogo,nina passion sana na huu mchezo ila bahati haiko upande wangu,yaan NINAPIGWA kiasi ambacho hata kumueleza mtu ni ngumu kuamin,kila ninakokimbilia ni kipigo tu,nimejiunga karibu kampuni zote lakin nafuu sipati,kila nikijaribu napigwa,angalia mfano wa hizi mbili,PRINCESS BET na BET PAWA,kumbuka bado niko GAL SPORTS,MKEKA NA 1XBET.Ngoja nichungulie mechi za leo
Mkuu nakuona uko vizuri sana kwenye uchambuzi tafadhali uwe unashare na mimi japo kidogo,nina passion sana na huu mchezo ila bahati haiko upande wangu,yaan NINAPIGWA kiasi ambacho hata kumueleza mtu ni ngumu kuamin,kila ninakokimbilia ni kipigo tu,nimejiunga karibu kampuni zote lakin nafuu sipati,kila nikijaribu napigwa,angalia mfano wa hizi mbili,PRINCESS BET na BET PAWA,kumbuka bado niko GAL SPORTS,MKEKA NA 1XBET.
WAKUU NISAIDIENI AISEE NA MIMI NIFAIDI JAPO KIDOGO NDUGU ZANGU,NITUMIE MBINU GANI?.View attachment 1167783View attachment 1167784View attachment 1167785View attachment 1167786View attachment 1167787View attachment 1167788View attachment 1167789View attachment 1167790View attachment 1167791