Pole sana mkuu hii ndio kamari
Kama bado huja masta vizuri huu mchezo, kwa maana ya kwamba winning ratio yako sio nzuri basi jaribu kupunguza stake kubwa kubwa
Shusha stake zako, stick na bookies wachache na ufanye kama darasa hadi pale utakapoona angalau bashiri zako sasa zinaweza kuleta faida
Kama una haraka sana basi jaribu kutambaa na mikeka ya wataalamu wanaiweka sana humu jamvini kisha tupia hizo stake zako
Kwa malengo ya muda mrefu ni vizuri ukajikita kwenye kuujua mcheze kuboresha bashiri zako zaidi ya kukopi bashiri za wengine
Mwisho mkuu, huu ni uraibu ukikukolea na bashiri zako zikawa sio za faida ni hatari kwa uchumi wako
All the best