*BET WON**_______TICKET ΒΉ*
*ODD=2..18
*π³ BET - SLIP π³*
Ulsan Hyundai - FC Seoul
Over Away(0.5)
1.36
Daegu FC - Suwon Samsung
Over(1.5)
1.27
Arema FC - Persib Bandung
1 DNB
1.26
*____________________*
Hii maanake nikuwa kipindi cha pilihii option ikoje Mkuu
Hii maanake kipindi cha pili kusiwe na goal moja yaani kipindi cha pili wasifungane au magoal yawe mawili au zaidi.hii option ikoje Mkuu
Yaah double chance mix nayo nzuri coz unakuwa na option mbili ikishindikana moja unasikilizia ingineYeaah,hii nzuri, pia kwenye double chance mix pale patamu,
Kuna zile (1 or 2+,2 or 2+,x or 2+) na zngne kibaaaaao
Bet won
Goal lisiwe moja kipindi cha pili yaani wasifungane au wafungane goal 2 au zaidiUfafanuzi wa hiyo option pls
Kalibu kwenye ulimwengu wa ulaibu,Oi wazee wenzangu wa mazulia sikieni,mimi nmekuwa nabet kwa ussd marazote toka nianze kubet asa nmepata cmu ya smart nataka mnielekeze jins ya kuweka pesa kweny account yang ya sportpesa mana kla nkikRbu kuweka pesa nashndwa asa sijui nakosea wapi.,
Mana nataka niwe nabet zang online
Madrid ana 7 huko
Nina shida na hela kwenye acc yangu ya xbet kama 12000 TshMfuate PM
WOOOOON TUKUTANE KWA WAKALAChombo kingine 99.9%View attachment 1167157
Kwasasa situmii 1xbetNina shida na hela kwenye acc yangu ya xbet kama 12000 Tsh
mkuu unatumia njia gani kufanyia malipo?
"Oya wadau league zikianza mnaonaje tuwe kila mdau humu analeta team yake moja anayoiamini alafu tunafanya uchambuzi kwa pamoja ,, tunakubaliana kisha kila mtu anaweka stake yake..