Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wadau 1h hua inaishia dakika ya ngapi,hua inanichanganya sana!mpira wa miguu
 
INPLAY
Screenshot_20190731-212232~2.jpeg
 
Nime deposit pesa Gal sport nmebet nmekula ishu ipo kwny kuto sikujua kuwa unaenda kuchukua hela kwny ofisi zao na huku nilikoko hakuna ofice zao cjuh hata nifanyaje
 
Wakuu parimatch walinipa offer kwenye huo mkeka nikautega kimzaha mzaha sasa naona hizo tim zote zimetoa imebaki hiyo mechi ta tarehe 6 hapo nastake 280000 double chance nikimkosa milioni basi kapgwa 470000 [emoji23][emoji23][emoji23]
Screenshot_20190731-220132.jpeg
Screenshot_20190731-220708.jpeg
 
Back
Top Bottom