MAGO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,279
- 3,026
Huu mchezo licha ya uchambuzi bahati pia ina nafasi yake.Nakubali Mkuu,umesema kweli.
Kikubwa usiweke stake kubwa wakati unaona nyota yako haijakaa sawa.
Mikeka yako iko sawa kabisa kinachokuangusha ni huna bahati.
Ili usipagawe tulia na urudi kwenye stake ndogo.

