Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

ALDOSIVO FT X BOOOOOM
SAN MARIO LOSE
90+4 GOAL SHAME
 
ALDOSIVO FT X BOOOOOM
SAN MARIO LOSE
90+4 GOAL SHAME
Daaa yaan mpwa hii game nilikuwa naenda kumpiga vibaya mhindi ila bahati haijawahi upande wangu dakika za lala salama wanapata goal
 
Twende hivi
GENK over 0.5
PSV over 0.5
BAYERN over 0.5
PLZEN over 0.5
 
Hivi mkuu kwanini huwa mnabangaiza ma vimechi kama hivyo ingali kuna matches za maana tu zinaruka leo na kesho?

Wewe ambae hubangaizi na vimechi vya ajabu maisha yanaendaje hukoo?

This is betting bro ... kushinda ni bahati, kuliwa is a must.
Kuna treni lako moja nililibeba Stoke City ameshalichana. Au Stoke City nayo ni timu ya kubangaiza?.
Moral of the story: Usidharau bashiri za wenzako. Kila mtu ana mbinu zake za kuchambua.
 
Daaa yaan mpwa hii game nilikuwa naenda kumpiga vibaya mhindi ila bahati haijawahi upande wangu dakika za lala salama wanapata goal
Waswngeeesanaaaaaaaaaaasanaaanilishtukaandioomanaaa nkawekanayapili..

Nakurushiahelaa zausikuhuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…