Kachomoa na kamchomeka Rennes 2Naona psg ameshachomekwa kimoko
Uoga mbaya sanaWekaa
MKUUU.M NIMEJILIPUA.ZOTE
NUMEANZA.KUCHEKA.NA.PSG
●►●►●►V.I.P GROUP ●►●►●► ═══════════════════════════════════
► Date : 03 / 08 / 2019
► Time: 14:30«PM»
► League : FRANCE🇫🇷:
► Match : Paris Saint Germ - Rennes
► Tip : [ GG & 2.5 ] ○ over
► Odd : 2.30
► Safe %100
═══════════════════════════════════
●►●►●►V.I.P GROUP ●►●►●►
Mkuu vp,hebu fanya odds 3 nidese aiseh.
Sipo kwenye form kabisa,afu nina mtaji mzuri leo.
Wachina hawajatoa kwani?Mkuu usingependa udese kwangu hakyanani ... nina gundu la hatari kipindi hiki. Hebu tazama hao wachina wanaelekea kuipeleka 100K kwa Kanjibah Kumar !! wanashindwa over 1.5
Kama uliongea na customer care wao yaan hajui chochote cjui wamemtoa wap, j2 ilopita nilienda ofcn kwao kuhusu mkeka walonikosesha nikaonana na mkuu wa online betting nkamwambia nilichat na watu wa customer care wakasema nimekosa system iko sawa, kaomba kuona msg nilizochat nao alisikitika akasema inabid waboreshe customer care akaandika mail kwend kwa watopBaadae nitasogea sehemu ambapo nitakuwa karibu na ofisi yao basi nitakwenda kujua, hii mambo inakwenda vip.. huu sasa ni ubabahishaji.
Mkuu usingependa udese kwangu hakyanani ... nina gundu la hatari kipindi hiki. Hebu tazama hao wachina wanaelekea kuipeleka 100K kwa Kanjibah Kumar !! wanashindwa over 1.5
Sio kidogo ...Shanghai SIPG ******* kweli..
Na vi odd vyake vichache hakuna hata goalShanghai SIPG ******* kweli..
Nashindwa hata kuamini walichokifanya hawa *******Na vi odd vyake vichache hakuna hata goal
Botosani asije tuharibiaaa kaz1.5 all
More safe
Na odd yao ya 1.14 nilimpita tu hutu tu odd ndo tunachanaga mikeka nikamtupia evergrande na odd ya 1.9 jana direct winShanghai SIPG ******* kweli..
Hizo odd za kuanzia 1.10 sijui 1.14 nilishaziacha kitambo sana hazinaga faida na ikitokea umepigwa vinaondokaga na mtaji woteeee.Na odd yao ya 1.14 nilimpita tu hutu tu odd ndo tunachanaga mikeka nikamtupia evergrande na odd ya 1.9 jana direct win
DK ya ngapiBotosani asije tuharibiaaa kaz
Pole mkuu.. Inauma sana!
★. [emoji1033]BEST INFO 19:30 [emoji1033] ★
★. Villa Mitre vs San Martin
★.(Score) - {X/X} 5.40
★.INFO ★BET 365 & 1XBET[emoji817]
★.Here Is An Info From {Dark Web} Let f **** The Bookers Both Teams Have Been Paid Well Stake High