Buddy
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 7,117
- 8,885
Hivi mkuu kwanini huwa mnabangaiza ma vimechi kama hivyo ingali kuna matches za maana tu zinaruka leo na kesho?
Kwa run of form hiyo, Yokohama F. Marinos nilitegemea asingeshindwa Double chance - 1X
Ukiangaliza msimamo wa ligi yao pia ...
Ukiangalia Form ya Yokohama akiwa nyumbani ....
Nakadharika.