Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hujatuma,bado inagoma!?
Kiwango cha kutoa sio shida ndugu tabu ni kuwa bado wananitaka nitumie Mpesa ambayo nilitumia kudeposit 2018 wakati mwaka huu nimetumia bitcoin.Wakasema niichezeshe pesa yote nimechezesha ila mzigo bado hautoki kwenye bitcoin.
 
πŸ’―

Liverpool - Norwich City

(Liverpool) Salah Mohamed

Yes

1.75


Liverpool - Norwich City

(Liverpool) Divock Origi

Yes

2.00
 
Mkuu una hakika na unayosema kuhusu kuwithdraw?

1xbet njia ulio deposit ndio utakayo withdraw
1xbet hawaruhusu kudeposit hela kisha ukai withdraw bila kubet nazo, haitoki

Ukideposit kwa njia tofauti basi na kutoa watakutaka utoe kwa mgawanyo kama ulivyo deposit
 
BOOOOOOOOOOOOOM.KAMAUMECHEZA ANGALIA SALIOO
 
ligi ya ela isharudi nerthelands leo match zote zimetoa over 1.5 kuendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…