Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Usenge
Screenshot_20190809-163407.jpeg
 
Mkuu ukisiskia 1xbet ni mafia ndio hivyo sasa
Hiyo hela ndio hutaitoa tena utaishia ku bet irudi ilikotoka ua uwe una log in unaiangalia kisha unatoka

Kwa haraka haraka inaonekana njia ulio deposit imepigwa pin sasa unataka kuhamishia salio

Mlipa walikuja na mybuxy watu wakadeposit wakapiga hela, ghafla wakapiga pini na hawakupi option nyingine ya kutolea as if wewe ndio mwenye makosa

Mpesa kenya wanabahati sana hawakufungiwa withdrawal sasababu 1xbet bado wanajadiliana na gvt
Lakini vinginevyo ni maulivu
Nilipodeposit kupitia bitcoin walichukua pesa fasta tabu ipo kwenye kutoa wanadai nitoe kiwango sawa na nilichodeposit ambacho ni 20000.Wakati huo bitcoin kiwango cha chini kutoa ni 130000.Najuta kinoma
 
Hakuwa makini kujua taratibu kabla ya kudeposit. Mbona wanaweka wazi kiwango cha chini cha withdraw kwa kila method?

Njia nyingine kiwango cha chini ni Laki.
 
Back
Top Bottom