Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Asante wakuu Kwa mchango wenu jinsi ya kudeposit 1xbet Kwa kutumia bitcoin. Swali LA mwisho je ni option zipi kwenye 1xbet ni nzuri kubet ambazo zinatoa matokeo chanya
Wakuu nasubiri mchango wenu hapa Kwa mwenye uzoefu na 1xbet
 
Mkuu naona 1xbet wananigomea ikikubali naanza kurusha maana Nina pesa naishia kuingalia tu ndani ya account.
Mkuu ukisiskia 1xbet ni mafia ndio hivyo sasa
Hiyo hela ndio hutaitoa tena utaishia ku bet irudi ilikotoka ua uwe una log in unaiangalia kisha unatoka

Kwa haraka haraka inaonekana njia ulio deposit imepigwa pin sasa unataka kuhamishia salio

Mlipa walikuja na mybuxy watu wakadeposit wakapiga hela, ghafla wakapiga pini na hawakupi option nyingine ya kutolea as if wewe ndio mwenye makosa

Mpesa kenya wanabahati sana hawakufungiwa withdrawal sasababu 1xbet bado wanajadiliana na gvt
Lakini vinginevyo ni maulivu
 
Wakuu samahanini sana hivi ili soko la special kwenye betpawa limekaaje unabet vipi hapa naomba maelezo kidogo
IMG_20190808_214900_383.JPG
 
Wakuu nasubiri mchango wenu hapa Kwa mwenye uzoefu na 1xbet
Mkuu umeanza na kampuni kubwa hivyo na hata options zenyewe hizijui? Kwenye kamari hakuna option iliyopo kumnufaisha mcheza kamali ila kuna options nafuu tu kama
1+
Under 5.5
Double chance

Yote na yote bado chaguo utakalo chagua lina maana kubwa ktk kukuletea hayo matokeo chanya unayosema
 
BOOOOOOOOOO
M

BOLIVIA: Division Profesional – Clausura

00:15am Nacional Potosi – Guabira Tip: HT X (1st Half X) Odd: 3.50✅✅

DENMARK: Landspokal Cup

18:00pm Skagen IK – Thisted FC Tip: 3+ (Over 2.5 goals) Odd: 1.30 (BOOOOOM)
 
BOOOOOOOOOOOOOOOM
KAMA ULIFWATAA

08 – August – 2019

🌐League: EUROPE: Europa League – Qualification

⚽️Match: FC Astana (Kaz) – Valletta (Mlt)

⏱Time: 3:00 pm

✍Tip: 1/1 HT/FT

Odds: 1.80

HT/FT Results: 3:0/5:0
 
DAILY GAMES!

TODAYS TIPS!
Day1✅✅✅5odds
Day2✅✅✅6odds
Day3✅✅✅5odds
Day4❎❎❎32odds
Day5✅✅✅5odds
Day6✅✅✅20odds
Day7✅✅✅6odds
Day8✅✅✅5odds
Day9❎❎❎6odds
Day10✅✅✅10odds
Day11❎❎❎18odds
Day12

Chtchetinne,Eugene-2(🏓)✅✅
Huzjak vs Ruiz Roman-2(🏓)🎈
Karakasevic,Alexander-1(🏓)✅✅
Angles,Enzo-1(🏓)✅✅
Spain-2(🤾🏾‍♂️)✅✅
Netherlands-2(🏀)✅✅
Spain-1(🏀)🎈
Hyundai steel-2(⚽️South Korea)✅✅
Astana-1⚽️(uefa)✅✅
Roskilde-2⚽️(Denmark)✅✅
Wolverhampton-2⚽️(uefa)✅✅
Az Alkmaar-2x⚽️(uefa)✅✅
Malmo-1⚽️(uefa)✅✅
Afturelding-2⚽️(Iceland)✅✅
FH Hafnarfjordur-dnb⚽️(Iceland)✅✅
Torino-1⚽️(uefa)✅✅
Frankfurt-2⚽️(uefa)✅✅
Maccabi Tel Aviv-1(⚽️uefa)🎈
Molde FK-1x⚽️(uefa)✅✅
Psv-dnb⚽️(uefa)✅✅
Ludogorets-1⚽️(uefa)✅✅
Cska Sofia-1x⚽️(uefa)✅✅

Odds:72.68
Soccabet code
#78526760
#FIFA19
 
Back
Top Bottom