Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Napenda uliza
Wale wenye Prepaid kutoa hela 1xbet huchukua muda gani?
Nataka nizame huko daima maana huyu betpawa ananipangia mechi anazoona zinamfaa yeye
 
Ata michezo anachagua yeye atakayo. Mbwa yule sijui anafikiri wote wanabet kwenye football pekee. Mtu kama mimi ni mdau wa Snooker na Handball lakini yule mbwa koko haweki hiyo michezo.

Jana nimetoa kihela changu
 
[emoji28] [emoji28] Nikifanikiwa kutoa pesa meridianbet sitakuja kuonekana kwenye viunga vyao..
 
Labda nitoe angalizo tu wadau wa 1xbet,humu ndani kunaonekana kuna watu ni mawakala wa hizi kampuni za betting hivo kuweni makini nao sana,wapo wengi sana. Mimi na watu nilionao wengi mpesa kenya imerudi katika a/c zetu na tunafanya kama kawaida kutoa na kuweka pesa tangu jana. Sasa kuna mtu anakuja na kusema eti mimi nalisha watu tango pori,sawa fresh tu....wote humu nia yetu ni kumpiga kanji/muhindi za uso na kama ninaleta tango pori bakini na meridianbet,parimatch,betpawa zenu acha sisi tunaotumia 1xbet tuendelee kula options za kibabe....ASUBUHI NJEMA WADAU!!!!
 
Labda nitoe angalizo tu wadau wa 1xbet,humu ndani kunaonekana kuna watu ni mawakala wa hizi kampuni za betting hivo kuweni makini nao sana,wapo wengi sana. Mimi na watu nilionao wengi mpesa kenya imerudi katika a/c zetu na tunafanya kama kawaida kutoa na kuweka tangu jana. Sasa kuna mtu anakuja na kusema eti mimi nalisha watu tango pori,sawa fresh tu....wote humu nia yetu ni kumpiga kanji/muhindi za uso na kama ninaleta tango pori bakini na meridianbe,parimatch,betpawa zenu acha sisi tunaotumia 1xbet tuendelee kula optains za kibane....ASUBUHI NJEMA WADAU!!!!
Leo ndo ijumaa mbona kimya
 
Back
Top Bottom